Universitätsbibliothek HeidelbergUniversitätsbibliothek Heidelberg
Metadaten

Bates, Oric [Hrsg.]
Varia Africana (Band 1) — Cambridge, Mass.: African Department of the Peabody Museum of Harvard University, 1917

DOI Seite / Zitierlink:
https://doi.org/10.11588/diglit.49270#0233
Überblick
Faksimile
0.5
1 cm
facsimile
Vollansicht
OCR-Volltext
Mwana Kupona

151

Utendi wa Mwana Kupona.

Negema wangu binti
mchachefu hasanati
asaao kazingatia
upulike wasiyati
Maradhi yamenishika
hatta yametimu mwaka
neno lema kukwambia
siyapata kutamka
Ndoo mbee ujilisi
na wino na karatasi
nimependa kukwambia
nina katiti hadisi
Kwisakwe kutakarabu
Bisumillahi kutubu
na sahabaze pamoya
umtae na habibu
5. Ukisa kulitangaza
ina la Mola muweza
Mngu tatuwafikia
basi atupe majaza
Mwanadamu si kitu
na ulimwengu si wetu
ambao atasalia
walau hakuna mtu
Mwanangu twaa waadhi
pamoya na yangu radhi
akepuani na baa
Mngu atakuhifadhi
Twaa nikupe hirizi
uifungeto kwa uzi
upate kuiangalia
uipe na taazizi
Nikutungie kidani
cha lulu na marijani
shingoni kikizangaa
nikuvike mke shani
10. Penda nikupe kifungo
kizuri kisicho ungo
utaona manufaa
uvae katika shingo
Yangu utakaposhika
mwanangu hutosumbuka
na akhera utangia.
duniani utavuka
 
Annotationen