Mwana Kupona
153
La Rwanda kamata dini
faradhi usikhini
na wajibu kuitia
na suna ikimkini
Pili uwa na adabu
na ulimi wa thawabu
kulla utakapongia
uwe kuti mahabubu
La tatu uwasadiki
ushikalo ulishiwe
sandamane naye ndia
mtn asoshika haki
15.
Tena mwanangu idhili
mbei za makabaili
angusa kuinukia
uwaonapo mahali
Wangiapo uinukie
na moyo ufurahiye
watakapokwenda ndia
kisa uwapeeke mbee
Sifanye mteshiteshi
kwa maneno ya soghashi
watu wakayatukia
wala sifanye ubishi
Nena nao kwa mzaha
yawatiao furaha
kheri kuinyamalia
yawapo ya ikiraha
Wala situkue thana
kwa mambo usoyaona
tahadhari nakwambia
na kwamba nakununghuna
20.
Sitangane na watumwa
ilia mida wa huduma
labuda nimekwambia
watakuvutia tama
Sandamane na wajinga
wasoyua kutunga
watakuwa kurnbia.
watakuvutia changa
Mama pole kwa maneno
kiumbe na radhi tano
wa akhira na dunia
ndipo upate usono
Nda Muungu na mtumewe
baba na mama wayue
mno imekaririwa.
na ya tano ni mumewe
Nawe radhi mumeo
siku zote mkaao
sikumhitaji wao
awe amekuwelea
153
La Rwanda kamata dini
faradhi usikhini
na wajibu kuitia
na suna ikimkini
Pili uwa na adabu
na ulimi wa thawabu
kulla utakapongia
uwe kuti mahabubu
La tatu uwasadiki
ushikalo ulishiwe
sandamane naye ndia
mtn asoshika haki
15.
Tena mwanangu idhili
mbei za makabaili
angusa kuinukia
uwaonapo mahali
Wangiapo uinukie
na moyo ufurahiye
watakapokwenda ndia
kisa uwapeeke mbee
Sifanye mteshiteshi
kwa maneno ya soghashi
watu wakayatukia
wala sifanye ubishi
Nena nao kwa mzaha
yawatiao furaha
kheri kuinyamalia
yawapo ya ikiraha
Wala situkue thana
kwa mambo usoyaona
tahadhari nakwambia
na kwamba nakununghuna
20.
Sitangane na watumwa
ilia mida wa huduma
labuda nimekwambia
watakuvutia tama
Sandamane na wajinga
wasoyua kutunga
watakuwa kurnbia.
watakuvutia changa
Mama pole kwa maneno
kiumbe na radhi tano
wa akhira na dunia
ndipo upate usono
Nda Muungu na mtumewe
baba na mama wayue
mno imekaririwa.
na ya tano ni mumewe
Nawe radhi mumeo
siku zote mkaao
sikumhitaji wao
awe amekuwelea