Mwana Kupona
163
Kwako kuomba sikomi
wala si fupi ulimi;
nikumshizia uzia!
ya Mfariji lihami
Nisimeme muhitaji
nipa hima sinihuji
ya afua na aha.
ajili mbili faraji
Nondolea ndia mbovu
yaloningia kwa nguvu,
ya Rabbi nighufiria!
thambi zangu na maovu
Kwetu yangawa mazi to
kwako we we ni matoto,
unepuke marra moya!
nipulia ufukutu
80. Na kuombawe Latif a
unondolee mikhafa,
na idi ya kuhijiwa.
kwa yaumu li-Arafa
Kwa siku hizi tukufu
za kuhiji na kutufu,
unishushize afua!
ni afu Rabi ni afu,
Ya Allahu! ya Allahu!
ya Rabahu! ya Rabahu!
nitika hukwamkua;
ya Ghayiti raghbatahu!
Nakuombawe Rabbana
biasmaika husuna
mia hupunguwa moya,
tisia wa tisaina
Nipulishie walimu
wakiyanena fahamu,
akiomba hurudia.
dua hini Isilamu
85. Nami ni mja dhaifu,
mwenye nyingi takalufu,
Rabi nitakhafifia;
nakuomba takhafifu,
Nakuomba taisiri
nisio kadiri,
shari ukinepulia;
unegeshe kulla kheri
Ya Rabbi nitimiliza
mambo nisiyonaweza,
amba yatasikilia.
wala moya nisowaza
Rabbi unifurahishe
mambo mema unegeshe,
tusikusanye pamoya;
maovu uyagurishe,
163
Kwako kuomba sikomi
wala si fupi ulimi;
nikumshizia uzia!
ya Mfariji lihami
Nisimeme muhitaji
nipa hima sinihuji
ya afua na aha.
ajili mbili faraji
Nondolea ndia mbovu
yaloningia kwa nguvu,
ya Rabbi nighufiria!
thambi zangu na maovu
Kwetu yangawa mazi to
kwako we we ni matoto,
unepuke marra moya!
nipulia ufukutu
80. Na kuombawe Latif a
unondolee mikhafa,
na idi ya kuhijiwa.
kwa yaumu li-Arafa
Kwa siku hizi tukufu
za kuhiji na kutufu,
unishushize afua!
ni afu Rabi ni afu,
Ya Allahu! ya Allahu!
ya Rabahu! ya Rabahu!
nitika hukwamkua;
ya Ghayiti raghbatahu!
Nakuombawe Rabbana
biasmaika husuna
mia hupunguwa moya,
tisia wa tisaina
Nipulishie walimu
wakiyanena fahamu,
akiomba hurudia.
dua hini Isilamu
85. Nami ni mja dhaifu,
mwenye nyingi takalufu,
Rabi nitakhafifia;
nakuomba takhafifu,
Nakuomba taisiri
nisio kadiri,
shari ukinepulia;
unegeshe kulla kheri
Ya Rabbi nitimiliza
mambo nisiyonaweza,
amba yatasikilia.
wala moya nisowaza
Rabbi unifurahishe
mambo mema unegeshe,
tusikusanye pamoya;
maovu uyagurishe,