Universitätsbibliothek HeidelbergUniversitätsbibliothek Heidelberg
Overview
Facsimile
0.5
1 cm
facsimile
Scroll
OCR fulltext
IVIWANA KUPON.A

165

90. Uniweke duniani,

Tungile utungo hunu

Tungile nilisaqimu

Na sababu yakutunga,

Kapenda kumunabihi

95. Somani nyute huramu,

Somani mite ya ngano,
Mwenye kutii mvuli

Mwenye kutunga na thumu

Na baitize idadi

Muungu iiipa husuni,
makao ya hafidhia.
kwa zahimu na zitunu,
na hukumuzo jalia;
moyo usinafahamu,
mukiongoza na ndia.
si shairi, si malenga,
kapenda kumuusia;
la ala katanabahi,
pamwe nawake rejea.
maana muyafahamu,
mbee za Mola jalia;
mtii waume wenu,
za akhera na dunia;
ndake jaha na jamali,
hutangaa nakenea;
ni gharibu mwenye hamu.
Rabi tamghufiria;
ni miate wa wahadi
ndizo zimezozidia

nifapo nende peponi,

kwa kazi yako dayano,

usomeni Isilamu,

nina kijana muinga,

kamfuata ilahi

musitukue laumu

musipate na zitunu

kula endapo mahali

na ubora ithumu

na mbili za mazidadi

Wallah salam. Tamat aun Illahi.
 
Annotationen